Leonce Godfrey openbaar
[search 0]
Meer
Download the App!
show episodes
 
Eleven Digital is the Digital Youth Forum dedicated to education in the field of the safe, creative and positive use of the Internet and new technologies. This is ‘Open Forum' aims to encourage dialogue and spread digital awareness on different issues by providing a platform on which ideas, creativity, thoughts and questions can be expressed and tackled in an open environment.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Teknolojia ya 5G na Mapinduzi ya Kidijitali Kupitia mazungumzo haya, tunachunguza jinsi teknolojia ya 5G inavyochochea mapinduzi ya kidijitali na kuunda msingi wa mabadiliko makubwa katika mawasiliano, biashara, na maisha yetu ya kila siku. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bari…
  continue reading
 
Mitandao ya kijamii ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku.Ni muhimu kutumia njia salama kwa kuweka nywira tofauti kwa kila akaunti. Episode hii tutaanganzia Namna ya Kuwa Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii Bila Kuihatarisha Faragha Yako 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Barik…
  continue reading
 
Tambuwa barua pepe za ulaghai (phishing emails)Katika episode hii, utajifunza jinsi ya kutambua barua pepe za ulaghai, Sikiliza leo na ujifunze jinsi ya kulinda taarifa zako za kibinafsi na pesa zako kutokana na ulaghai wa mtandaoni!(Tuma kwa namba hii wamehamia kwenye email 🤣🤣🤣)Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: …
  continue reading
 
Jinsi Virtual Reality Inavobadiliasha Maisha YetuKaribu kwenye ulimwengu wa mshangao na uvumbuzi! Kupitia podcast yetu, tumechimba kina kwenye jinsi Virtual Reality inavyotikisa msingi wa maisha yetu. Tunaangazia jinsi teknolojia hii inavyobadilisha uhalisia, kutufanya tuone ulimwengu kupitia macho mapya, na kuleta mageuzi katika njia tunavyoshirik…
  continue reading
 
Jinsi ya Kuandika Maudhui ya Kimtandao (Content) Yenye Kuvutia. Leo, tutajadili mambo muhimu ya kuzingatia unapotaka kutengeneza maudhui ya kimtandao ambayo yatavutia wasomaji wako na kuwafanya waweze kuchukua hatua. Kujenga maudhui ya kimtandao yenye nguvu na yenye kuvutia ni muhimu sana katika ulimwengu wa leo unaoshiba habari. Ndiyo sababu, kati…
  continue reading
 
Application ambazo hutakiwi kukosa kama unafanya biasharaKuna application nyingi ambazo upo nazo kwenye simu yako lakini wewe kama mfanyabiashara karibu nikuambie application ambazo kama unataka kufanikiwa uwezi kuzikosa kwenye simu. Katika Episode hii Tutachunguza application Tano kwa undani jinsi gani zitarahisisha utendaji wa biashara, na pia ku…
  continue reading
 
Mfanyabiashara au mtu wa kawaida lakini unataka kuwa na video nzuri kitika mitandao yako ya kijamii. Katika Episode hili utajifunza Application 5 za kuedit video zako. Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255Facebook: eleven_digital255LinkedIn: eleven_digital255…
  continue reading
 
Wewe ni kijana au mfanyabiashaa? unapenda kupiga Picha nzuri na unatamani zivutie lakini unashindwa kiediti. Katika Episode hili utajifunza Application 5 za kuedit Picha zako. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikilizaHosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255Facebook: eleven_digital255LinkedI…
  continue reading
 
Hivi unafahamu kama Kuingia mtandaoni unakuwa upo kwenye ulimwengu wa fursa zisizo na mwisho.Katika toleo hili utajifunza tovuti na programu ambazo zinatoa fursa za kazi za mbali (remote jobs) au freelancing, nataka nikupatie Tano ambazo unaweza kuzitumia katika kuuza ujuzi wako mtandaoni.🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikilizaProduce…
  continue reading
 
Mara kwa mara tumekua tukisikia kuhusu ya makosa ya mtandaoni lakini je, tunayajua?Haya ni makosa Tano ya kimtandao yanayoweza kusababisha mashtaka nchini Tanzania.Produced and Hosted By Owen Bariki.Instagram: eleven_digital255Facebook: eleven_digital255LinkedIn: eleven_digital255
  continue reading
 
Elimu ndio inayokosekana kati ya watumiaji wengi wa majukwaa ya kidigitali na kusababisha hasara, kudukuliwa na upotevu wa taarifa na data walizoweka mtandaoni. Katika episode hii, nimekuandalia tips Tano za kufanya Ili wadukuzi wasiweze kupata taarifa zako kwenye simu na laptop. Produced and Hosted By Owen Bariki.Instagram: eleven_digital255Facebo…
  continue reading
 
Unataka kuficha utambulisho wako ukiwa mtandaoni? Je unataka usiache alama (digital footprint) pale unapotumia mitandao?. Sasa hapo ndio VPN inapokuwa muhimu sana.Katika Episode hi nakulete VPN 5 ambazo ni bora na ningependa uwe unazitumia Ili kukulinda na kukufanya uwe salama pale unapokuwa mtandaoni.Produced and Hosted By Owen Bariki.Instagram: e…
  continue reading
 
Katika Episode hi ya Pili tutachunguza ukweli usiojulikana na mambo ya kushangaza kuhusu mitandao ya kijamii ambayo ni faida kwa wafanyabiashara na watu wengine wanaotumia mitandao hiyo. Unataka kujuwa nimekuandalia nini kaa nami nikufungulie pazia la siri hizi za mitandao ya kijamii Karibu sana!Produced and Hosted By Owen Bariki.Instagram: eleven_…
  continue reading
 
Watu wengi wamekuwa wahanga wa kuibiwa taarifa zao mtandaoni, kitu wasichokijua ni kuwa kila sehemu wanayopita mtandaoni wanaacha hatua zao na taarifa binafsi. Katika episode hii tupo na Imani Luvanga, anatuambia ni kivipi tunaweza linda taarifa zetu zisidukuliwe na waarifu na tubaki mtandaoni salama.…
  continue reading
 
Je unawaza ni sehemu gani salama ya kutunza na kuhifadhi taarifa zako na rahisi kufikika pale unapozihitaji?. Katika Episode hii, tumekuletea SITES na APPS bora unazoweza kulinda na kuhifadhi data zako kwa usalama zaidi na rahisi kuzipata pale utakapozihitaji. Chukua muda wako na sikiliza hii;
  continue reading
 
Katika ulimwengu wa kidigitali kuna browsers nyingi sana ambazo zinakupa uwezo wa kuingia kwenye majukwaa mbalimbali ya Internet. Katika episode hii, tumekuletea baadhi tu ya browsers salama na nzuri kutumia kwenye simu na laptop zako bila kusahau Tips mbalimbali zinazoweza kukufanya uwe salama katika majukwaa ya mtandao.…
  continue reading
 
Loading …

Korte handleiding