Player FM - Internet Radio Done Right
Checked 5M ago
Toegevoegd drie jaar geleden
Inhoud geleverd door Innocent Ngaoh. Alle podcastinhoud, inclusief afleveringen, afbeeldingen en podcastbeschrijvingen, wordt rechtstreeks geüpload en geleverd door Innocent Ngaoh of hun podcastplatformpartner. Als u denkt dat iemand uw auteursrechtelijk beschermde werk zonder uw toestemming gebruikt, kunt u het hier beschreven proces https://nl.player.fm/legal volgen.
Player FM - Podcast-app
Ga offline met de app Player FM !
Ga offline met de app Player FM !
Hivi Unajua Wewe Una Nguvu Ya Sumaku Ndani Yako...?
Manage episode 427311712 series 3280689
Inhoud geleverd door Innocent Ngaoh. Alle podcastinhoud, inclusief afleveringen, afbeeldingen en podcastbeschrijvingen, wordt rechtstreeks geüpload en geleverd door Innocent Ngaoh of hun podcastplatformpartner. Als u denkt dat iemand uw auteursrechtelijk beschermde werk zonder uw toestemming gebruikt, kunt u het hier beschreven proces https://nl.player.fm/legal volgen.
Inakushangaza kusikia kauli ya kuwa "WEWE NI SUMAKU" sikiliza episode hii ujifunze na uje ukweli wote.
…
continue reading
111 afleveringen
Manage episode 427311712 series 3280689
Inhoud geleverd door Innocent Ngaoh. Alle podcastinhoud, inclusief afleveringen, afbeeldingen en podcastbeschrijvingen, wordt rechtstreeks geüpload en geleverd door Innocent Ngaoh of hun podcastplatformpartner. Als u denkt dat iemand uw auteursrechtelijk beschermde werk zonder uw toestemming gebruikt, kunt u het hier beschreven proces https://nl.player.fm/legal volgen.
Inakushangaza kusikia kauli ya kuwa "WEWE NI SUMAKU" sikiliza episode hii ujifunze na uje ukweli wote.
…
continue reading
111 afleveringen
Alle afleveringen
×Anza kuelekea uhuru wako wa kifedha Kwa Kuanza Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako Kwa kutumia Kanuni ya 40/30/20/10.
Maneno Yako Yana nafasi kubwa ya kufanya Ukubalike au ukataliwe kwenye eneo lolote. Sikiliza episode hii ujue maneno 04 Ambayo Yatafanya Ukubalike Zaidi.
Anza kuweka akiba Leo kama unajali kesho na future Yako. Sikiliza episode hii mpaka MWISHo ujue kila kitu Kuhusu namna ya kuweka akiba
Je Unataka Kulipa MADENI Yako na wakati huohuo unaweka akiba ya fedha zako? Basi sikiliza episode kujua Kanuni ya 70/20/10
Kanuni ya 50/10/10/10/10/10 itakusaidia Kuanza Kupanga Bajeti Ya Fedha Kiurahisi. Anza kuitumia Leo.
Inakushangaza kusikia kauli ya kuwa "WEWE NI SUMAKU" sikiliza episode hii ujifunze na uje ukweli wote.
Kama unajali kesho Yako na kuelekea uhuru wa kifedha basi suala la kuweka akiba ni lazima. Lakini.... Kuna makosa ambayo wengi hufanya Katika uwekaji wa akiba zao na pengine na wewe unafanya. Akiba ya malengo ya muda mrefu haipaswi kuwekwa kwenye; 1. Kibubu, 2. Taasisi za kibenki, 3. Chini ya godoro 4. Mitandao ya simu. Unajiuliza kama sipaswi kuweka huku niweke wapi akiba zangu? Swali zuri, ni hivi... Weka akiba Yako kwenye; 1. Mifuko ya pamoja, 2. Hatifungani za serikali, 3. Hisa, Hata hivyo kuelewa Kwa kina basi bofya link hapa chini sasahivi uanze kujifunza Kama bado hujaanza kuweka akiba hujachelewa, Unaweza Kuanza Leo kujali kesho Yako kwa kuweka akiba…
Haijalishi wewe ni mpambanaji kiasi gani kama hauna msingi mzuri wa elimu ya fedha. Basi kuna uwezekano mkubwa utapambana sana ila kiuchumi inakuwa vigumu kukua. Kwa sababu... Umekosa nidhamu ya pesa ambayo ni muhimu kuwa nayo kama unataka kufanikiwa katika eneo la fedha. Kwahiyo... Ukianza kupanga bajeti ya fedha zako inakuwa rahisi kurekodi matumizi yako ya siku, wiki, mwezi, miezi n.k. Kwa kujua kwanini pesa zako zinaenda pale na siyo hapa na kwanini hapa na siyo kule. Kwa sababu bajeti inakusaidia kurekodi na kujua mtuririko wa matumizi yako. Swali linakuja, Je, wewe unapanga bajeti ya fedha zako au kikubwa uhai? Basi... Leo na habari njema kwako kwamba kupitia Kanuni ya 60/10/10/10/10 utaweza kuwaga fedha yako Katika makundi matano; 1. Kutumia kwenye matumizi ya lazima (Basic needs) 2. Kutumia kwenye starehe na burudani (Wants), 3. Kuweka akiba na uwekezaji (Saving and investing), 4. Kutoa fungu la kumi, 5. Kuweka fedha ya dharura (Emergency fund). Hivyo basi... Kanuni ya 60/10/10/10/10 kuilewa vizuri ni wakati sahihi wa kusikiliza episode ya 42 ya ujazo imeeleza kila kitu na mifano kama yote. Ushindwe wewe tu... Chukua hatua Sasa Kwa kubofya link hapo chini sasahivi kusikiliza madini.…
Hivi unajua nguvu ya unyenyekevu kwenye maisha yako? Basi fahamu sifa 04 za mtu mnyenyekevu kupitia episode hii.
Unahitaji sana kujiamini kuliko unavyofikiri, episode ya dakika 6 itakusaidia kuongeza uwezo wa kujiamini kwa njia rahisi kabisa.
Upende au usipende unahitaji sana maarifa na taarifa kupitia kujifunza, umejaribu kusoma vitabu umeshindwa? Basi episode hii itakusaidia kujua sehemu gani rahisi unaweza kupata maarifa kiurahisi kwenye eneo lolote na upige hatua kwenye maisha yako.
Hivi unajua Nidhamu ya kazi ndiyo inatofautisha wafanyakazi makini na wafanyakazi wakawaida. Kiwango cha mafanikio yako inategemea Sana kiwango cha nidhamu binafsi.
Hivi unajua Kiwango Cha Mafanikio Yako inategemea sana na Kiwango Cha Nidhamu Yako. Kupitia episode hii utajua Aina Tano za Nidhamu Zenye Kuleta matokeo Makubwa kama utazingatia na kuziishi kwenye maisha Yako. Unahitaji sana kuwa na Kiwango kikubwa Cha Nidhamu. Sikiliza na uanze kufanikiwa Kwa kuwa utaanza kuishi Kwa Nidhamu kwe ye maisha Yako.…
Kama wewe ni wale ambao unawatumia watu DM au text za kawaida Kwa Mara ya Kwanza kama vile "Niaje, Mambo, Vipi, Shwari Mkuu, Harakati Ni Vipi Kiongozi, Mrembo mambo n.k" Tambua unakosea sana Tena sana hiyo siyo Kujitambulisha badala ni salamu tu. Swali linakuja unajua jinsi ya Kujitambulisha mtu akiona DM au text Yako apate kuijibu bila kupuuzia. Unahitaji kuzingatia maeneo matano wakati unamuandika Mtu DM Yako; 1. Jina la mtu unayemtumia ujumbe wako. 2. Jina lako. 3. Shughuli Yako. 4. Hitaji au shida Yako. 5. Hitimisho. Ukizingatia mambo yote hayo DM zako zitajibiwa mpaka ushangae. Kwa mfano... "Habari kaka Amos Nyanda naitwa Innocent Ngaoh ni Mwandishi wa Vitabu pia ni mtengeneza maudhui ya mtandaoni ya kuelimisha jamii, nilikuwa naomba usaidizi ni wapi nitapata ujuzi wa copywriting Ili niwe Mwandishi mzuri wa Malala na Vitabu. Natanguliza shukurani." Mfano wa DM hiyo akiona tu lazima atajibu, Kwa sababu Iko straight to the point. Kujitambulisha ni Sanaa. Ndiyo maana... Una dakika nane za kujua Namna Rahisi ya Kujitambulisha Ili uwe GURU yaani gwiji. Chukua hatua Sasa.…
Umekosa sapoti au kushikwa mkono Katika kazi zako au mapambano Yako? Unapitia hali ya kukataliwa na kuona hakuna anayejua thamani Yako Wala Kuamini Katika Wewe? Unapitia hali ya kukata tamaa kwenye kitu unachofanya kwa kuwa matokeo yamechelewa. Unatamani kuwa Bora ila hujui ufanye Nini? Kuna watu wanakurudisha nyuma na kutoamini katika mapambano Yako ila unashindwa kuwaondoa kwa sababu yoyote Ile. Basi... Episode hii itakupa nguvu na maarifa sahihi ya kuonyesha Uwezo Wako na Kuamini Katika Wewe yaani "BELIEVE IN YOURSELF." Sikiliza na ujifunze…
Welkom op Player FM!
Player FM scant het web op podcasts van hoge kwaliteit waarvan u nu kunt genieten. Het is de beste podcast-app en werkt op Android, iPhone en internet. Aanmelden om abonnementen op verschillende apparaten te synchroniseren.